TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Thursday, February 9, 2012

BINTI AZIMIA KATIKA CHUMBA CHA INTANETI BAADA YA KUFELI MTIHANI

Sikuzani Kibwana akiwa amelazwa nje kupata ubaridi.

Mwanafunzi mwenzake akimsubiri azinduke.

Mandhari ilivyo nje ya chumba cha Intanet.

MWANAFUNZI aliyekuwa kidato cha nne Shule ya Sekondari Morogoro inayomilikiwa na serikali, Sikuzani Kibwana, leo ameanguka ghafla na kupoteza fahamu katika chumba…

1 comment:

COMRADE said...

Dah..hakutarajia,, alichokiona huyo..