TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Friday, November 11, 2011

KIJANA ALIEKATAA MIMBA YA MWANAFUNZI NAYEYE APEWA MIMBA KIMIUJIZA


Said Kapita akiwa nje ya nyumba ya mganga akisubiri zamu yake kupata tiba. Kulia ni kaka yake aliyejitambulisha kwa jina la Abdallah Kapita. Pichani juu: Kapita akiwa nje ya nyumba ya mganga akisubiri kupata tiba.Kijana huyu inadaiwa amepewa ujauzito kimaajabu na Babu wa Msichana aliempa mimba na akaikataa huko mikumi Mkoani Morogoro.

No comments: