TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Friday, November 11, 2011

HALI ILIVYOKUA MBEYA LEO


Mwenye kofia haya mwenye supu haya kila mmoja alikua anaokoa uhai wake

Machinga huyu nae alikua anapiganisha Bunduki na Manati Ilimradi jiwe lifike


alt=""id="BLOGGER_PHOTO_ID_5673830637326359474" />

Hali ilikua kama hivi mabomu ya machozi kila mahala

Hali ya wasi wasi ilitanda mkoani hapa hadi kufikia hatua mauka na sehemu nyingine za biashara kufungwa

No comments: