
Picha hii iliyopigwa magomeni kagera (27/9/2008) karibu na kituo cha daladala ikimwonyesha mbwa huyu akiwa amekufa.Je Afisa mifugo wa manispaa ya kinondoni unafanya nini mpaka wanyama kama hawa wanafikia hatua ya kupoteza maisha kwa magonjwa mbalimbali?Imefikia hatua sasa mipango yetu isiwe katika makarabrasha ofisini tuifanyie kazi kwa maendeleo ya nchi yetu.
No comments:
Post a Comment