



Hii ni Mitambo ya kuzalisha umeme wa dharula ya Richmond.Mitambo hii imelitia hasara ya Mabilioni taifa letu.Wziri mkuu ameshasoma ripoti ya kamati yake aliyoiunda na inayoonyesha hatua mbalimbali za kisheria na utekelezaji zitakazochukuliwa kwa wale wote waliohusika na kashfa hii ya ufisadi kwa taifa letu.JE WEWE UMERIDHIKA NA HATUA ALIZOZITAJA Mh.Waziri Mkuu?PENDEKEZA MAONI YAKO YA HATUA GANI ZINGINE ZA KISHERIA ZICHUKULIWE ZAIDI KWA WALE WOTE WALIOHUSIKA NA KASHFA HII...........
No comments:
Post a Comment