TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Tuesday, September 30, 2008

EID MUBARAK

NAPENDA KUCHUKUA FURSA HII KUWAPONGEZA WAISLAMU WOTE KOTE ULIMWENGU KWA KUFANIKIWA KUMALIZA SALAMA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.NI MATUMAINI YANGU KUWA YALE YOTE WALIYOYAPATA NA KUJIFUNZA KATIKA KIPINDI CHOTE CHA MWEZI WA RAMADHANI WATAYAFANYIA KAZI KATIKA MIEZI MINGINE YA KAWAIDA NA KUWA WAJA WEMA WA MWENYEZIMUNGU.ALLAH(SW)AWAJALIE EID YENYE UKARIMU.
NI MIMI MMILIKI WA BLOG HII BADI DARUSI

No comments: