TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Tuesday, September 23, 2008

DARASA LENYE MANUFAA
Unaishi wapi jijini Dar-es-salaam?Basi njoo ujiunge Katika mpango maalum wa kukujengea uwezo kila siku ya Jumatano kuanzia saa tisa alasiri hadi saa kumi na moja jioni Katika Viwanja vya TGNP Mabibo.Darasa hili ni Bure kabisa wala hamna kiingilio wala ada.

No comments: