TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Tuesday, September 23, 2008

MIUNDO MBINU BORA YA BARABARA NCHINI
Picha hii imepigwa Mwezi june 2008 katika eneo la kijiji cha COMORO wilayani Simanjiro.Barabara hii kutokea Arusha Mjini hadi Makao makuu ya Halmashauri Wilaya ya SImanjiro ni Mbaya sana na haifai kwa matumizi ya Abiria na Mali zao.Unashauri nini juu ya kuwepo kwa wakandarasi matapeli na mafisadi nchini wanaokula pesa za Nchi bila ya kujenga barabara nzuri?Nitumie maoni yako na nitayapublish katika blog hii.

No comments: