TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Thursday, September 18, 2008

NIPOKEENI KATIKA ULIMWENGU WENU

Habari zenu mabloger wenzangu?Leo ndio nimetua rasmi katika ulimwengu huu wa kuelimishana katika masuala mbalimbali ya kijamii kupitia blog hii.Mnakaribishwa kutoa maoni na mambo mengi ya kiharakati na yakinafki ili kuijenga jamii yetu ya leo ya kizazi cha dot com.

No comments: