JINA LA CHAMA IDADI YA KURA ASILIMIA
AFP 2350 0.45%
CCM 26,484 50.46%
CHADEMA 23,260 44.32%
CHAUSTA 182 0.35%
CUF 2104 4.02%
UDP 76 0.14%
SAU 83 0.16%
UPDP 63 0.12%
WALIOANDIKISHWA 171,019
WALIOPIGA KURA 53,672
KURA HALALI 52,487
KURA ZILIZOHARIBIKA/KUKATAIWA 1,185
VYAMA VILIVYOSAINI MATOKEO NI CUF, CCM NA SAU
Matokeo haya ni kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga
No comments:
Post a Comment