Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com
Friday, October 28, 2011
HALI YA ZITTO KABWE YAANZA KUTENGEMAA
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe alipomtembelea Hospitalini leo asubuhi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.Zitto anaendelea vizuri na Malaria anayoumwa.
No comments:
Post a Comment