TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE
Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com
Friday, October 28, 2011
ALSHABABY WATISHIA PAMBANO LA SIMBA NA YANGA
Kikundi cha Ugaidi cha Alshababy kimetishia kulipua Uwanja wa Taifa wakati wa Mpambano wa Simba na Yanga Kesho katika Uwanja mpya wa Taifa.Tahadhari hiyo ya Kutokea milipuko imetolewa jana na Mkuu wa Makosa ya Jinai nchini Kamishna Robert Manumba.Wapenzi wa Mpira wa miguu wametakiwa kuchukua tahadhari wakati wa mchezo huo.Na kama wakimuona mtu ambae wana mashaka nae wametakiwa kutoa taarifa mapema kwa jeshi la polisi kabla madhara zaidi hayajatokea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment