TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Monday, October 24, 2011

Breaking News:VITUO VYA GOMA KUUZA MAFUTA NCHINI





Wamiliki wa Vituo vya Mafuta wameanza mgomo kuanzia siku ya leo ili kupinga bei mpya iliotangazwa na Mamlaka ya Nishati na maji (EWURA).Tahadhari kwa wenye vyombo vya usafiri wajaze mafuta ya kutosha ili kuweza kukabiliana na hali hii ilioanza leo

No comments: