Watu 30 wanahofiwa kufab katika ajali ya Basi la Deluxe linalofanya safari zake kati ya Dar - es - Salaam na Dodoma kuwaka Moto katika maeneo ya Kibaha Kongowe mkoani Pwani.Chanzo cha Moto huo hakijajulikana taarifa zaidi zitatolewa punde na mamalaka zinazohusika
No comments:
Post a Comment