TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Sunday, October 23, 2011

MKE WA GADAFI AUTAKA MWILI WA MUMEWE AUZIKE IFAMILIA

Kupitia televisheni ya Syria, ukoo wa Gaddafi akiwamo mkewe Safia Gaddafi ( Pichani)umelitaka baraza la mpito la nchi hiyo kuwaruhusu uuchukue mwili wa Gaddafi ili wanaukoo wa Gaddafi waweze kuuzika.

No comments: