Miss East Africa
Belgium 2012
Mwakilishi wa Tanzania kwenye fainali Miss East Africa Belgium
yatakayofanyika tarehe 1 September 2012, Miss Juliana Pierre
Muunge mkono mwakilishi wetu huyu kwenye Fainali husika kwa kuongeza idadi ya kufahamika kwake.
Juliana anaomba uingie kwenye ukurasa wake wa (Face book) na kubonyeza
kitufe cha “like” kwa anuani hii: https://www.facebook.com/JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012
Tangaza Vipaji Vyetu,Tangaza
Utalii Wetu, Tangaza Tanzania.
------------------------------------------------
No comments:
Post a Comment