TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Tuesday, February 14, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA URUSI IKULU JIJINI DAR


Rais Jakaya Kikwete akimsindikiza mjumbe maalum wa Rais wa Urusi Bw. Mikhail V. Margelov mara baada ya maongezi yao Ikulu jijini Dar es Salaam jana Februari 13, 2012.


Rais Jakaya Kikwete akiagana na mjumbe maalum wa Rais wa Urusi Bw. Mikhail V. Margelov.

No comments: