TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Saturday, December 24, 2011

MAFURIKO YAACHA YATIMA WENGI KIGOGO, WAKAZI 17 HAWAJULIKANI WALIPO MPAKA SASA JUMLA YA MAITI 30 ZAPATIKANAMzee wa Hekima za Badi akirudisha baadhi ya vitu vyake kwa wazazi wake ambao wanaishi Kigogo Luhanga


Huduma za afya nazo zilikwama, hapa inaonekana hospitali ya Mafaransa ikiwa katika hali mbaya mara baada ya kuzingirwa na maji


Kila mtu alikua anahaha kutafuta mahala pa kujihifadhi kama inavyoonekana katika picha
Hali ya maji ilikua hivi hakika haitosahaulika

Mafuriko hayakuathiri makazi tu bali hata sehemu ya wajasiria mali wanawake nao waliathirika kama inavyoonekana hapa Wahudumu wa Saloon ya Msambaa wakitoa maji ndaniMzee wa Hekima nae alikua ni mmoja wa wahanga wa mafuriko huko Kigogo hapa akiwa anaelekea sehemu ya usalama zaidi mara baada ya kunusurika na mafuriko

Mmoja ya wakazi wa Kigogo akimshukuru Mungu mara baada ya kunusurika katika mafuriko huko Kigogo.

No comments: