TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Wednesday, November 23, 2011

AJALI MBAYA ILIOTOKEA LEO UBUNGO RIVERSIDE


Katikati ni gari ndogo jekundu lililokandamizwa chini ya lori jeupe la mafuta. Alikuwepo mtu hai bado hajatolewa wakati picha hizi zinapigwa punde tu ilipotokea ajali.






Lori la mafuta likiwa limetua juu ya moja ya magari yaliyogaribika vibaya kwenye ajali hiyo





Abiria wa daladala na wapita njia, wakitazama ajali hiyo


No comments: