

Maiti ikinasuliwa kutoka kwenye moja ya magari yaliyopata ajali katikaeneo la pipeline mkoani Mbeya, ajali hiyo imetokea hivi punde. Tutawaletea taarifa juu ya chanzo na mengineyo kadiri taarifa zitakavyokua zinatufikia.Picha zote na mdau wa Mjengwablog.com aliyekuwepo kwenye eneo la tukio
No comments:
Post a Comment