TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Wednesday, September 14, 2011

WAJASIRIAMALI WADOGO WADOGO WAONYESHA BIDHAA ZAO KATIKA TAMASHA LA 10 LA JINSIA
Bidhaa mbali mbali zinazofanywa na Wajasiriamali wadogo wadogo Wanawake zinazoonyeshwa Katika Tamasha la Jinsia la Kumi linalofanyika katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Mabibo Dar - es - Salaam Kuanzia jana Tarehe 13 HADI 16/9/2011

No comments: