TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Friday, July 22, 2011

TGNP YAWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE


Mratibu Wa Warsha ya Wanawake na Uongozi dada Jeni Mtenya akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr.Christine Ishengoma na Kaka Badi Darusi ambae ni mwezeshaji wa warsha hiyo pamoja na Mama Vestina Ngulusi ambae ni kaimu katibu tawala wa Mkoa wa Ruvuma wakati wawezeshaji walipokwenda kujitambulisha Ofisini kwa mkuu wa Mkoa.Warsha hii iliandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP)

Hapa wawezeshaji Kaka Badi Darusi kushoto na Dada Neema Duma Kulia wakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr. Christine Ishengoma katikati na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mama Vestina Ngulusi walipokwenda Kujitambulisha ofisini kwake.
Baadhi ya madiwani wanawake wa mkoa wa Ruvuma Wakifatilia Warsha hiyo ya Wanawake na Uongozi kwa Umakini wa hali ya juu


HAPA WAKIMFATILIA KWA MAKINI MWEZESHAJI KAKA BADI DARUSI

MWEZESHAJI DADA NEEMA DUMA AKIWAJIBIKA WAKATI WA WARSHA HIYOYA WANAWAKE NA UONGOZI MKOANI RUVUMA

Hapa Waheshimiwa Madiwani wa mkoa wa Ruvuma wakifanya kazi za Vikundi ikiwa ni sehemu ya Warsha hiyo ya Wanawake na Uongozi.

Mmoja wa madiwani wa Manispaa ya Songea akifanya Mrejesho wa kazi za vikundi

HAPA MADIWANI WAKIANZA KUUWASHA MOTO WA LIZOMBE.ILIKUA FULL SHANGWE KWAO
ILIKUA NI SEHEMU YA FURAHA.HAPA MADIWANI WANAWAKE WAKICHEZA NGOMA YA LIZOMBE NA MWEZESHAJI KIONGOZI KAKA BADI DARUSI

No comments: