
Msanii Kutoka Marekani Ludacriss akiingia kwa Mbwembwe katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya Jangwani jana


Msanii Ludacris Kutoka Marekani akinadi Kampeni ya Zinduka pamja na Wasanii kutoka Tanzania

Msanii kutoka Marekani Ludacris akiwa pamoja na baadhi ya Wanafunzi wa Azania Sekondari

Msanii Ludacris akiwa na wasanii wa Bongo Fleva wa Hapa Nchini

Wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva kutoka Tanzania wakiwa wamekaa meza kuu toka kushoto ni Mwana FA,Joe Makini, Prof.Jay, Mwasiti na wengineo wengi

MWANAMUZIKI KUTOKA MAREKANI LUDACRIS AKISALIMIANA NA MWALIMU WA SHLE YA SEKONDARI YA JANGWANI JANA WAKATI WA KUNADI KAMPENI YA KUTOKOMEZA MALERIA YA ZINDUKA.


WANAUNZI WA JANGWANI SEKONDARI WAKIMSIKILIZA MWANAMUZIKI KUTOKA MAREKANI LUDACRIS WAKATI AKINADI KAMPENI YA KUPINGA MALERIA NCHINI (ZINDUKA)
No comments:
Post a Comment