Chama cha siasa Cha Sauti ya Umma (SAU) Kimeamua kujipanga upya baada ya kumnyakua kada maarufu wa CCM ndugu Mchatta Erick Mchatta.Mara baada ya kujiunga, Chama hicho kiliamua kumteaua kua Mkurugenzi wa Uenezi na Taifa na tayari kashaanza majukumu yake kwa kupanga Mikakati ya kulieleza taifa kuwa nini kifanyike ili liweze kujikomboa.
Nae menyekiti wa SAU Taifa bwana Paul Kyara amesema kua muda wa kufanya siasa safi ni sasa na kwa maslahi ya umma.
Habari na mdau ALLAN HALID KILUVIA
No comments:
Post a Comment