TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Tuesday, October 28, 2008

UFISADI UWANJA MPYA


Huu ni umati wa mashabiki wa soka waliohudhuria pambano la Simba na Yanga uwanja mpya wa Taifa jijini Dar-es-salaam.Mapato tuliyotangaziwa hayaendani hata kidogo na ukubwa wa umati huu.PCB msilale fanyeni uchunguzi wa kina ili tujue pesa zilizopatikana zimeenda wapi?Sio wachezaji wanavuja jasho halafu viongozi wanahonga madem zao Vitara.Mimi sikubaliani hata kidogo na pesa zilizopatikana katika mechi hii kutokana na Ufisadi mkubwa uliofanyika.Wewe maoni yako yapi?

No comments: