TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Tuesday, October 28, 2008

DOGO TOKA YANGA WANAKUBANIA?


Huyu ni Jerry Tegete ambaye Kocha mkuu wa Stars Maximo anamuamini kupita kiasi, kwanini Kocha wa Yanga Dusan Kondich anamuweka benchi kila kukicha?Dogo hama timu ili ukuze Kipaji chako lasivyo Kondich atusha kiwango chako chote.

No comments: