Rais Jakaya Kikwete akimsindikiza mjumbe maalum wa Rais wa Urusi Bw. Mikhail V. Margelov mara baada ya maongezi yao Ikulu jijini Dar es Salaam jana Februari 13, 2012.
Rais Jakaya Kikwete akiagana na mjumbe maalum wa Rais wa Urusi Bw. Mikhail V. Margelov.
No comments:
Post a Comment