Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda akitoa salamu zake za Mwisho mbele ya Mwili wa marehemu Regia Mtema aliekua Mbunge wa Viti maalumu Kupitia Chadema
Spika wa Bunge Mh. Anna Makinda akimuaga Mbunge wa Viti maalumu wa Chadema Marehemu Regia Mtema katika viwanja vya Karimjee leo.
Askari maalumu wa Bunge wakibeba jeneza lenye Mwili wa Marehemu Regia Mtema tayari kwa kuwekwa katika mahala pa kuagia.Mamia ya wakazi wa jiji la Da - es - Salaam walijitokeza kuuaga mwili wa Mbunge huyo wa Viti maalum kupitia CHADEMA

No comments:
Post a Comment