Rais Jakaya Kikwete akimsalimia msanii wa kikundi cha Ze comedi Vengu alipolazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jana jioni.Hali ya Vengu ni ya Kutatanisha sana maana sasa hivi hwezi hata kula na anatumia mipira maalum kuweza kupitisha cakula Mwilini.
No comments:
Post a Comment