Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com
Sunday, November 6, 2011
EID MUBARAK WAISLAM NA WATANZANIA WOTE
Blog hii ya Hekima inapenda kuwatakia Waislam wote na Watanzania kwa ujumla Sikukuu njema ya Eid El Hajj.Blo ya Hekima inawasisitizia Tuendelee kudumisha upendo na mshikamano tulionao Watanzania.
No comments:
Post a Comment