Wananchi waliofika eneo TAZARA huku wengine wakiwa wamepanga foleni kwa ajili ya kupata maji ambapo Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) liliteka maji hayo kwa ajili ya wafanyakazi wake waliopo mji mdogo wa Mbalizi, wilaya ya Mbeya vijijini Mkoani Mbeya.
Wananchi wa mji mdogo wa Mbalizi, wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani Mbeya wakigombania foleni ya kuteka maji, yaliyobebwa kwenye Behewa la treni inayomilikiwa na Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) siku ya jana majira ya asubuhi kutokana na uhaba wa maji unaokabiri mji huo.
Wananchi waliofika eneo TAZARA huku wengine wakiwa wamepanga foleni kwa ajili ya kupata maji ambapo Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) liliteka maji hayo kwa ajili ya wafanyakazi wake waliopo mji mdogo wa Mbalizi, wilaya ya Mbeya vijijini Mkoani Mbeya.
No comments:
Post a Comment