TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Sunday, November 20, 2011

CHELSEA YALALA 2-1 DARAJANI



Beki wa kulia wa Liverpool, Glen Johnson (katikati), akiifungia timu yake bao la pili dhidi ya Chelsea katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyochezwa leo katika Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Chelsea wamelala 2-1.




Glen Johnson wa Liverpool akishangilia na mchezaji mwenzake, Luis Suarez (kulia) mara baada ya kuipatia timu yake bao la pili dhidi ya Chelsea katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyochezwa leo katika Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Chelsea wamelala 2-1.

No comments: