TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Friday, August 5, 2011

WAUZA PETROL WASALIMU AMRI MBELE YA SERIKALI


Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakimu Maswi akiwa katika kiako cha pamoja na Wauzaji na Waagizaji wa Mafuta nchini.Waagizaji hao wameamua kusitisha mgomo wao uliokua unaendelea tanghu juzi nchi nzima.

wauzaji na waagizaji wa Mafuta kutoka makampuni mbali mbali nchini wakiwa katika kikao chao kilichofanyika Wizara ya Nishati na Madini kujadili kuhusu mgomo wao unaoendelea wa kuuza Mafuta nchini.Wauzaji hao wamekubaliana na bei iliyowekwa na EWURA na kuamua kusitisha mgomo huo mara moja.

No comments: