Mchezaji Patric Mafisango wa Timu ya Simba akipokea zawadi yake ya uchezaji bora wa Mechi dhidi ya Yanga.Alikabidhiwa Kiasi cha Shilingi Laki 5 kutoka kwa meneja mhusiano wa NMB
Haruna Moshi Boban akitolewa uwanjani mara Baada ya kufanyiwa Faulo na Nadir Haroub Canavaro.
Wachezaji wa Yanga wakimlalamikia Mwamuzi baada ya Kuipa simba Penati mara baada ya Nadir Haroub Canavaro kumfanyia faulo Haruna Moshi "Boban"
AMiri Maftha kushoto, Patrice Mafisango na Felix Sunzu
Wachezaji wa Simba Toka kushoto Emanueli Okwi, Patric Mafisano na Sunzu wakishangilia Goli la Kwanza lililofungwa na Haruna Moshi Boban hayupo pichani
Kocha wa Timu ya Simba Moses Basena akiwaangalia vijana wake namna wanavoigagadua Yanga
MASHABIKI WA SIMBA WAKISHANGILIA GOLI LA PILI LA TIMU YAO LILILOFUNGWA SUNZU KWA MKWAJU WA PENATI
KIKOSI CHA TIMU YA SIMBA KILICHOIFUNGA YANGA GOLI 2 KWA 0.
Emanueli Okwi wa Simba akijaribu Kumfunga golikipa wa Yanga Shabani Kado.
Mgeni Rasmi akimkabidhi Nahodha wa Simba Juma Kaseja Ngao ya Jamii mara baada ya Mchezo kati ya simba na Yanga Kuisha na Simba kushinda Goli 2:0
No comments:
Post a Comment