HEKIMA ZA BADI
TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE
Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com
Saturday, June 9, 2012
Breaking News: Mzee Bob Makani amefariki Dunia
Dr Julie Makani kati kati akiwa na Marehemu Baba yake Mzee Bob Makani pamoja na Mama Vicky Makani.
Muasisi wa Chama cha Denmokrasia na Maendeleo Mzee Bob makani amefariki dunia Usiku huu nyumbani kwake Mbezi beach Jijini Dar - es- Salaaam. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na familia ya marehemu zinasema kuwa marehemu alikua anaumwa kwa kipindi kireu sasa. Habari zaidi kuhusu msiba wa Bob Makani zitaendelea kutolewa kupitia blog hii
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment