TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Tuesday, January 3, 2012

BREAKING NEWS: BASI LA UPENDO LAPATA AJARI MKOANI MOROGORO, WATU WAWILI WAFA PAPO HAPO


Basi la abiria la Kampuni ya Upendo linalofanya Safari zake kati ya mkoa wa Iringa na Dar - es - Salam limepata ajali Mkoani Morogoro likiwa linatoka Dar - es - Salam Kuelekea mkoani Iringa.Watu wawili wamekufa papo hapo na idadi ya majeruhi bado haijajulikana. Miili ya marehemu na majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya mkoa wa Morogoro. Habari zaidi tutawaletea kadri zitakavyokua zinatufikia.

No comments: