TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Thursday, December 1, 2011

MAFURIKO MTO WA MBU

"Mama huyu anasubiri maji yapungue ili avuke. Hiii ndo hali halisi iliyopo huko Mto wa Mbu. Hali ni ngumu na watu wapo katikia mazingira hatarishi.""Sehemu ya bara bara iliyoharibiwa na mafuriko kama inavyoonekana katika picha"

"Nyumba hii ikiwa imezingirwa na maji mara baada ya mafuriko katika eneo la mto wa Mbu"

'Sehemu ya Kifusi cha udongo kilicholundikana mara baada ya kutokea mafuriko'

No comments: