TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Sunday, November 6, 2011

WATANZANIA HALI YA VENGU WA ZE COMMEDY NI MBAYA TUMUOMBEE.

Rais Jakaya Kikwete akimsalimia msanii wa kikundi cha Ze comedi Vengu alipolazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jana jioni.Hali ya Vengu ni ya Kutatanisha sana maana sasa hivi hwezi hata kula na anatumia mipira maalum kuweza kupitisha cakula Mwilini.

No comments: