Mdau wa Blog ya Hekima kaka Badi Darusi anatangaza kupotelewa Vitaambulisho vyake Muhimu kama Kadi Benki ya CRDB, Kitambulisho cha Bima ya Afya na Kitambulisho cha Kazini kwake tangu tarehe 15/10/2011 .Mdau yeyote atakaepata habari zake asiache kumuhabarisha kwa Namba hizi 0755 - 863097 na 0713 581741
No comments:
Post a Comment