Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com
Monday, October 31, 2011
MBWANA MAUMLA ABONDWA NA FRANCIS MIYEYUSHO
Hapa ilikuwa ni piga nikupige.
Makonde yakiendelea kurushwa kila upande,pambano lilikuwa kali na la kusisimua
Francis Miyeyusho akikwepa konde zito la Mbwana Matumla Bingwa Mpya wa UBO katika uzito wa Bantum,Francis Miyeyusho akifurahia ubingwa wake huo wakati akivishwa mkanda wake na Mlezi wa Mchezo wa Ngumi hapa nchini,Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Afande Suleiman Kova huku Diwani wa Kinondoni,Mh. Abbas Tarimba akiangalia.Francis Miyeyusho kanyakuwa ubingwa huo baada ya kumchakaza vibaya Bingwa wa Zamani UBO,Mbwana Matumla katika mchezo uliomalizika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee hall. Bondia Francis Miyeyusho akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mpambano kuisha na yeye kuibuka bingwa mpya wa UBO baada ya kumchapa Mbwana Matumla kwa point.
No comments:
Post a Comment