TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Monday, October 3, 2011

MATOKEO YA UCHAGUZI WA JIMBO LA IGUNGA HAYA HAPA

JINA LA CHAMA IDADI YA KURA ASILIMIA

AFP 2350 0.45%

CCM 26,484 50.46%

CHADEMA 23,260 44.32%

CHAUSTA 182 0.35%

CUF 2104 4.02%

UDP 76 0.14%

SAU 83 0.16%

UPDP 63 0.12%WALIOANDIKISHWA 171,019

WALIOPIGA KURA 53,672

KURA HALALI 52,487

KURA ZILIZOHARIBIKA/KUKATAIWA 1,185


VYAMA VILIVYOSAINI MATOKEO NI CUF, CCM NA SAU

Matokeo haya ni kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga

No comments: