TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Friday, September 23, 2011

USIKU WA MTANZANIA WAFANA NDANI YA TGNP
"Sio kama wanauchambua Mfumo wa Kibepari Ubeberu au Bajeti la Hasha hapa ni step za Kwaito kati ya Dada Marjorie Mbilinyi, Neema Duma na dada Gloria Shechambo"Burudani hizi ni katika kufanikisha usiku wa Mtanzania ndani ya Viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP)Katika maazimisho ya Tamasha la Kumi la Jinsia (GF)Iliku ni Usiku wa Mduara na Kuchezesha nyonga na vidole juu kwa kwenda Mbele.

Kikundi cha Wanaharakati cha GDSS nacho hakikua nyuma katika Kusoma Ushairi kama kinavyoonekana katika Picha.Ilikua ni Usiku wa Kula na kunywa kama inavyojionyesha hapa.Wafanyakazi na wadau mbali mbali wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)wakiwa katika harakati za kukata kilaji na kinywaji

Washiriki kutoka Unguja na Pemba Bi Mgeni Kushoto na Bi Asha kulia wakifatilia Sherehe za Usiku wa Mtanzania zinavoendelea katika Viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania.

No comments: