TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Thursday, August 25, 2011

WAHUNI WALING'ANG'ANIA JENGO LA TGNP, WAGOMA KUTOKA,WAKAA BURE KWA MIAKA 12,WAWAZUIA WAFANYAKAZI KUFANYA KAZI KWA MUDA WA SIKU NNE SASA


Wakili Sengondo Mvungi akipanga Mikakati na Wavamizi wa Jengo la TGNP wasiotaka kuondoka licha ya mahakama kuwaamuru kuondoka haraka katika Jengo hilo.


JENGO LA TGNP LILILOVAMIWA NA WATU WASIOFAHAMIKA WANAOLIKALIA KWA NGUVU LICHA YA MAHAKAMA KUWAAMURU KUONDOKA HARAKA ILI KUIPISHA TGNP IWEZE KUFANYA SHUGHULI ZAKE KWA KWA UFANISI ZAIDI
Wafanyakazi wa TGNP wakiimba na Kucheza ili kufarijiana nje ya Jengo lao lililovamiwa na kukaliwa wahuni wachache wasiopenda maendeleo ya Wanawake na Harakati nchini wanaotaka kudhulumu haki za wanyonge.wafanyakazi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP) wakiwa nje ya Jengo lao mara baada ya Kuzuiwa na Waliokuwa wapangaji wa Jengo hilo wasiotaka kuhama na kuondoka katika Jengo hilo licha Mahakama ya Rufaa kuwaamuru kuondoka katika Jengo hilon

No comments: