Wanafunzi wengi wanapoteza muda mwingi katika kutafuta maji kama inavyoonekana hapa.Je hali hii itaisha lini??
MAJI HAYA YANAYOMAGIKA YANATOKA ZIWA VICTORIA NA YANAELEKEA KATIKA MOJA YA MIGODI YA BARICK UNAITWA KAKORA MINING LAKINI VIJIJI YANAPOPITIA MAJI HAYA YANASHIDA KUBWA YA MAJI.
Bi Grace Msalika akiwa amechoka wakati akisubiria maji katika moja visima vya asili vinavyopatikana katika Kijiji cha Izunya.
No comments:
Post a Comment