TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Monday, July 11, 2011

MBUNGE WA NYANG'HWALE ALIA WATU WAKE WANAKUFA NJAA


MBUNGE WA JIMBO LA NYANG'HWALE Mh.Hussein Nassor Amar


SEHEMU YA MAHINDI YALIOHARIBIKA KATIKA JIMBO LA NYANG'HWALE KATIKA VIJIJI VYA Nyangalamila na Shibalanga

Mhe.Hussein Nassor Amar Mbunge wa Jimbo la Nyang'hwale CCM aliiomba serikali kupeleka chakula katika jimbo lake kwani sasa debe la mahindi ni shilingi 13,000/=,Amesema iwapo serikali haitapeleka chakula na kupunguza bei watu wa jimbo lake watakufa njaa.Maana jimbo hilo limekumbwa na njaa.Mh.Hussein aliyasema hayo wakati anachangia hotuba ya waziri Mkuu wiki iliopita Bungeni.
Aidha alisema walimu katika jimbo lake wanamatatizo makubwa ,yakiwemo ya Bima ya afya,walimu hao wamemtuma kuwa Bima ya Afya iwe hiyari kwani haiwasaidii na hawaitaki.pia alisema tatizo lingine ni upungufu wa madawati,nyumba za walimu na masilahi ya walimu hayatolewi kwa wakati.

No comments: