TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Wednesday, July 27, 2011

SAFARI MWISHO YA MPIGANAJI DANIEL MWAKITELEKO

MSAFARA WA GARI ZA WAOMBOLEZAJI ZILIZOAMBATANA KWENDA KUMFIKISHA MAREHEMU DANIEL MWAKITELEKO ZIKIWASILI MKOANI MBEYA, KIJIJINI KWA MAREHEMU. (PICHA ZOTE KWA HISANI YA BLOG YA JIACHIE)

MWILI WA MAREHEMU DANIEL MWAKITELEKO UKISHUSHWA TOKA KATIKA GARI LA JWTZ MARA BAADA YA KUWASILI TOKA DAR - ES - SALAM.

NDUGU WA MAREHEMU AKIBEABA MSALABA WENYE KUONYESHA WAKATI ALIOISHI DUNIANI MAREHEMU DANIEL MWAKITELEKO WAKATI MWILI WA MAREHEMU UKIWASILI TOKA GARINI.

MWILI WA MAREHEMU DANILE MWAKITELEKO UKIWEKWA MEZANI MARA BAADA YA KUWASILI KUTOKA DARE- ES-SALAAM.

MHARIRI MTENDAJI WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA NA PIA NI MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHRIRI AMBAE PIA ALIKUA RAFIKI KARIBU WA MAREHEMU DANNY, ABSALOM KIBANDA AKISOMA RISALA YA WASIFU WA KIKAZI WA MAREHEMU DANIEL MWAKITELEKO

NDUGU WA MAREHEMU WAKILIA KWA UCHUNGU MKUBWA WA KUONDOKEWA NA MPENDWA WAO DANIEL MWAKITELEKO

FAMILIA YA MAREHEMU DANIEL MWAKITELEKO WAKIAGA MWILI WA MPENDWA WAO

BAADHI YA WANDISHI WA HABARI WAKIUAGA MWILI WA MAREHEMU DANIEL MWAKITELEKO

WAOMBOLEZAJI WAKIBEBA JENEZA LENYE MWILI WA MAREHEMU TAYARI KWA KULIPELEKA KWENYE KABURI KWA MAZISHI

WAOMBOLEZAJI WAKILIA KWA UCHUNGU WAKATI MWILI WA MAREHEMU DANIEL MWAKITELEKO UKUSHUSHWA KABURINI
WAOMBOLEZAJI WAKISHUSHA JENEZA LENYE MWILI WA MAREHEMU DANIEL MWAKITELEKO KABURINI
WAOMBOLEZAJI WAKIFUNIKA KABURI LA MAREHEMU DANIEL MAKITELEKO.


MWAKILISHI WA JWTZ AKIWEKA SHADA LA MAUA KWENYE KABURI LA MAREHEMU DANIEL MWAKITELEKO.


WAOMBOLEZAJI WAKIWA WAMESIMAMA MBELE YA KABURI LA MAREHEMU DANIEL MWAKITELEKO

No comments: