TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Tuesday, July 26, 2011

AFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA GARI


WAPITA NJIA WAKIUTAZAMA MWILI WA MWENDESHA BAISKELI ALIEGONGWA NA GARI.PEMBENI NI BAISKELI ALIOKUWA ANAIENDESHA KABLA YA KUGONGWA NA GARI.(Picha zote kwa hisani ya Mdau Fatuma Mhagama Kutoka Iringa)

MWILI WA MWENDESHA BAISKELI UKIWA UMELALA KATI KATI YA BARA BARA YA KUELEKEA NDULI MARA BAADA YA KUGONGWA NA GARI.GARI LILOMGONGA HALIKWEZA KUTAMBULIWA MARA MOJA.INASEMEKANA MAREHEMU NI MWENYEJI WA KIJIJI HICHO CHA NDULI KIWANJA CHA NDEGE MKOANI IRINGA.

MWILI WA MTU HAJATAMBULIWA AMBAE ALIGONGWA NA GARI KISHA GARI HILO KUKIMBIA UKIWA UMELALA BARABARANI.AJALI HII IMETOKEA JANA MAENEO YA NDULI MKOANI IRINGA KARIBU NA RANCH YA ASASI DAIRY MILK.

No comments: