TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Friday, May 20, 2011

SHEIKH YAHAYA AMETUTOKA
Mnajimu maarufu Africa Mashariki na Kati Sheikh Yahaya Hussein amefariki Dunia leo majira saa nne aubuhi nyumbani kwake maeneo ya Magomeni Mwembechai.

Kwa mujibu wa taarifa iliotufikia kutoka kwa mtoto wa Marehemu Hassani Yahaya Hussein zinasema kua baba yake amefariki baada ya kuugua ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu.

Marehemu Sheikh Yahaya anatarajiwa kuzikwa kesho nyumbani kwake magomeni Mwembechai Dar - es- salaam.

Globu ya Hekima itaendelea Kuwafikishia taarifa kadri zitakavyoendelea kutolewa na Familia ya Marehemu.

1 comment:

Wenyenchi na Wananchi said...

JINA LA YESU LIBARIKIWE!
WATU WOTE WANAPASWA KUMWAMINI YESU KRISTO PEKE YAKE