TUNAPENDA KUWAKARIBISHA KATIKA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO ZINAZOFANYIKA KILA JUMA5 KAMA YA LEO KUANZIA SAA 9 MCHANA HADI SAA 11 KAMILI JIONI KATIKA VIWANJA VYA MTANDAO WA JINSIA TANZANIA TGNP.
MADA YA LEO NI UCHAMBUZI WA MUONGOZO WA BAJETI YA SERIKALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5. NINI MATARAJIO YA WANANCHI??? KARIBUNI SANA.
WATOA MADA NI BADI DARUSI NA GLORIA SHECHAMBO WOTE KUTOKA TGNP.
No comments:
Post a Comment