TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Friday, May 8, 2009

ALUTA CONTINUA BABAJamii ya watanzania walio wengi wanatambua juhudi zako za dhati za kuhakikisha kuwa wananchi walio wengi wanapata maisha bora.Kupitia blog hii napenda kukupongeza kwa jitihada zako za dhati ulizozianzisha za kupambana na "MAFISADI PAPA".Wale wote wanaobeza juhudi zako ni wale wachache vibaraka wa ufisadi ambao wanapenda kuwaona watanzania wenzao wakifa kwa njaa.Wanaharakati tulio wengi tunakuunga mkono kwa juhudi zako za kupigania haki na usawa wa wananchi wote wa Tanzania.
ALUTA CONTINUA BABA

No comments: